Tuesday, April 15, 2014

MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI  KATIKA SEMINA YA SHULE YA SABATO,HUDUMA ZA WATOTO NA HUDUMA  ZA WANA WA KIKE ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO SHINYANGA MJINI.

    Semina ya shule ya sabato,huduma za watoto na huduma ya wana wa kike imeendeshwa kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 06/04/2014 katika kanisa la shinyanga mjini.

  Semina hiyo ya siku tatu imeendeshwa na mama Winfrida Mitekaro ambaye ndiye  mkufunzi mkuu akishirikiana na mama Esther Malyeta toka south Nyanza conference.

Baadhi ya washiriki wa semina ya shule ya sabato,huduma za watoto na wana wa kike wakiwa katika picha ya pamoja na mama Winfrida Mitekaro

Mwisho wa semina  washiriki wote tulishirikiana kuimba wimbo wa  "MHOLA NYINGE" ambao uliwajumuisha washiriki wote bila kujali umri

 

Hivyo basi ni jambo la kumshukuru Mungu kwa ajili ya semina hiyo je kanisa lina jukumu gani katika kutoa semina kwa washiriki wake?

       

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA