Tuesday, April 22, 2014

Semina imefunguliwa na mkuu wa mkoa wa Tabora Mama Fatuma Mwansa akiwaasa wanasemina wote waonyeshe manufaa katika jamii ambayo wameyapata katika semina hii pia kuwa tajiri si dhambi ili mradi mali hizo uweumezipata kihalali


Ni Association of Tanzania Adventist Professionals na Entreneurs wakiwapamoja katika semina za kubadilishana uzoefu kwa mafunzo ya kujiajili na kutumia fursa zilizopo kukabiliana na masikini ajira..

WANASEMINA WALIPATA NAFASI YA KUTEMBELEA KATIKA CHUO CHA NYUKI KILICHOPO HAPA TABORA AMBAPO WAMEPATA MAFUNZO JUU YA UFUGAJI WA NYUKI BORA NA FAIDA YA NYUKI KWA UJUMLA KATIKA UJASILIAMALI..

TOKA KUSHOTO NI PASTOR MAMBWE,PASTOR IZUNGO,PASTOR BAGAMBE KIONGOZI WA UWAKILI KATIKA EAST AND CENTRAL DIVISION



MWISHO WA SEMINA WANASEMINA WAKIINGIA KATIKA UKUMBINI KUMPATIA ZAWADI MGENI RASMI





wadau katika mafunzo siku ya semina


0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA