Wednesday, July 01, 2015

Kwa wale ambao wamesha safiri tayari na wengine ambao wanataraji kusafiri kwenda kuhudhuria kikao kikuu cha uchaguzi na maamuzi katika kanisa la Waadventista wasabato duniani, tunakuletea kwa karibu zaidi huduma za malazi hasa hoteli zinazo patikana katika mji huu ili kukuondolea usumbufu usio wa lazima.
 
Kama haujapata hoteli bado ya kufikia na unahitaji kuomba nafasi BONYEZA HAPA
Na kama unahitaji kufahamu Hoteli zingine maeneo ya jirani BONYEZA HAPA
Na kwa msaada zaidi juu ya hoteli hapa San Antonio tafadhali piga Simu namba 800.727.8156

Muhimu : HAMNA MAKUBALIANO MAALUM NA WATOA HUDUMA ZA HOTELI JUU YA KIWANGO CHA GHARAMA ZA HUDUMA KWA WAGENI.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

1 comment:

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA