Thursday, May 26, 2016


 Ni usiku wa tarehe 27 mwezi wa 5 ndani ya Iringa hili ni tamasha kubwa la nyimbo za injili.Waimbaji mbalimbali watakuwepo kama vile,Faith Choir, Pizcato, Neema Busee na wengine wengi wakiwa na kund kubwa la Rhythm... 
Tamasha hili litakuwa Hosted na Mc mahiri Enoq Mshama Jr ndani ya mjengo gospel comedy zitakuwepo..
Tamasha hili litaenda sambamba na ugawaji bure wa kitabu cha Tumaini Kuu.
 ****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA