Sabato ya kesho ni maalum kwa uzinduzi wa Programu za utume kwa mtaa
wa Kimara wenye makanisa mawili, yaani Kimara na King'ongo.
Mgeni rasmi atakuwa ni Mwenyekiti wa Konferensi ya Mashariki Kati mwa
Tanzania wa kanisa la Waadventista Wa Sabato (ECT) Mchungaji Joseph
Mngwabi na leo ataweka jiwe la msingi la Kanisa la King'ongo.
Programu hizi zinaambatana na ugawaji wa vitabu vya Tumaini Kuu na Afya na Uzima.
Mahali: Viwanja vya Kanisa la Kimara King'ongo Dar Es Salaam
*****NYOTE MNAKARIBIHSWA****
0 comments:
Post a Comment