Tuesday, May 13, 2014

 Ni kampuni iliyoanzishwa hivi karibuni na mjasiliamali Mr.Kazungu ambaye pia ni ndiye meneja wa kampuni akisaidiana na wenzake.Kampuni hii inahusika na kutengeneza mazulia ya ndani ikiwemo ni semina vile jinsi  yanatengenezwa na baada ya semina kupewa vitendea kazi (mashine) ambazo itamsaidia aliyepata mafunzo haya sasa kufanya kwa vitendo...

Mashine za Kazungu Company ambazo ni zakipekee kabisa,zimebuniwa na kutengezwa na wataalam hawa kwa ustadi wa hali ya juu kabisa kumwezesha mtu kutengeneza zulia(carpet) kwa haraka na kwa ufanisi.

Jumapili ya terehe 18,MEI 2014 Kazungu company inakuletea semina kubwa juu ya ujasiliamali huu wenye faida kwa watanzania na kona nyingine ya Dunia.

MUDA:SAA8 HADI SAA 10 MCHANA
KIINGILIO:THS 30,000(MASHINE+MAFUNZO)
MAHALI:VIWANJA VYA PTA SABASABA DAR ES SALAAM
        NYOTE MNAKARIBISHWA 

 

 


MOJA KATI YA MAZULIA LILOTENGENEZWA NA MWANAFUNZI


MOJA KATI YA VIFAA NI KIROBA HIKI AMBACHO HUSHONEWA UZI KWA KUTUMIA MASHINE IKIFANANA NA SINDANO HIVI

HATUA INAYOFUATA NI KUINGIZA UZI NDANI YA MASHINE KWA KUTUMIACHELEWA



HAPA UZI TAYARI UMEINGIA NDANI YA MASHINE


TARATIBU ZA USHONAJI ZIKIANZA,MKUFUNZI WA MAFUNZO HAYA MR.KAZUNGU PICHANI(KATIKATI) AKITOA MAELEKEZO NA PEMBENI NI WANAFUNZI WAKE


HAPA NI KUWEKA LOCK(KUFUNGA ILI UZI USITOKE AU KULEGEA WAKATI WA KUTENGENEZA ZULIA



HAPA KAZI IKIWA TAYARI KABISA





*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA