Monday, May 12, 2014

NA MHINA KISAKA

Kikundi cha UHAI walipokua wanaimba huku Pugu SDA





Kikundi cha the herads kutoka pugu wakiiimba leo katika tamasha huku pugu SDA


MUHAS kwaya wakiimba leo katika tamasha


V.O.V nao wapo huku pugu SDA katika uzinduzi wa cd ya kikundi cha Uhai



Namsifu Makacha akiimba huku pugu SDA  katika uzinduzi wa CD ya uhai


kwaya ya kanisa la Wasabato Pugu wakiimba kwenye tamasha hili

          *** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA