Showing posts with label MAKAMBI. Show all posts
Showing posts with label MAKAMBI. Show all posts

Thursday, July 16, 2020

Makambi mtaa wa Kahama Kati mkoani Shinyanga yameanza tangu tarehe 12 na yataisha tarehe 19 mwaka huu wa 2020. Wachungaji mbali mbali kama; Mchungaji Lucas Rugemalila, Mchungaji Nuhu Suleimani, Mchungaji Elikana Kuzenza na Mchungaji mwenyeji wa mtaa Mchungaji Reward Mmbaga. Fuatilia matukio kwa njia ya picha kwenye blog yetu. Picha zote na Presenter yohana - Matendo ya kanisa
Karibu makambi ya kahama kati 2020
Karibu makambi ya kahama kati 2020



Karibu makambi ya kahama kati 2020








****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Sunday, September 18, 2016

Tukio la kuwekwa wakfu wachungaji ikiongozwa Na Mch Mark Walwa Malekana ambaye ni mwenyekiti Wa Union ya Kusini kwa Tanzania lilifanyika katika viwanja vya Kanisa la Kinondoni sda.









Picha/habari na http://mbeziluischurch.blogspot.com/
 

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Monday, September 12, 2016

 Picha zote na Kinondoni SDA

 ****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Sunday, August 21, 2016









****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Tuesday, August 16, 2016

Katika mfululizo wa mafundisho yake kwa vijana ambao hawajaoa wala kuolewa, Uncle Chris alipata kufundisha namna vijana wa njinsia zote wanavyopaswa kuchukuliana mizigo kitabia na changamoto zote, kwani kwa kufanya hivyo wataweza kuishi kwa upendo katika mahusiano yao hadi watakapoingia kwenye ndoa.
Akibainisha tabia za njinsia ya kiume, Uncle Chriss alisema kuna baadhi ya wanaume ambao huwa sio wepesi kusema mapema kuwa wanahitaji kuingia kwenye mahusiano na msichana fulani na hivyo wanaishia tu kuumia, na kwa vijana wa kike hao ni vigumu sana kusamehe na hivyo vijana wa kiume wanapowaendea wanapaswa kuwa makini kwa yale wanayoyasema wasifanye makosa kwa kusema mambo yasiyo na maana."Ukishaona maneno kwake ni big issue jipange" alisema Uncle Chriss
Chriss Buhatwa





****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Monday, August 15, 2016

Sherehe za vibanda kama zinvyojulikana kama makambi, zinaendelea katika sehemu tofauti tofauti na leo tumekusogezea habari njema kwa kambi la mtaa wa Buzuruga ambapo kambi hili limeanza siku ya jumamosi Agosti 13 na litafikia tamati siku ya tarehe 20 Agosti 2016 na mnenaji mkuu katika kambi ni mwenyekiti wa Konferensi ya nyanda za juu kuasini Mchungaji Kenani Mwasomola na wengine katika kambi hili ni Mchungaji Sadock Butoke na Mchungaji Busee.
Kwaya rasmi katika kambi hili ni Rwamgasa toka Geita, pamoja nao kutakuwa na kwaya takribani 12 kutoka makanisa yanayounda mtaa zikiwemo kwaya za kanisa pamoja na za vijana na watoto.

Mchungaji Busee alipokuwa akifungua kambi siku ya jumamosi.
Mchungaji wa Mtaa Mchungaji Mayalu





Na Sixbert

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Sunday, August 14, 2016



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Saturday, August 13, 2016

Kwaya ya Kanisa la Ubungo Hill SDA walipata fursa ya kuimba katika kipindi cha huduma ya zaka na sadaka.


Mchungaji Christopher Ungani alikuwa mnenaji mkuu katika makambi haya, na leo alisimama kwenye hubiri.
Kwaya ya kanisa la External Sda toka jijini Dar mapema leo walipata fursa ya kuhudumu kwa njia ya uimbaji kabla ya mhubiri kuanza huduma ya leo katika makambi ya mtaa wa Ubungo Hill SDA.



 Habari/ Picha na Cheri, Ubungo Hill SDA


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA