Monday, August 15, 2016

Sherehe za vibanda kama zinvyojulikana kama makambi, zinaendelea katika sehemu tofauti tofauti na leo tumekusogezea habari njema kwa kambi la mtaa wa Buzuruga ambapo kambi hili limeanza siku ya jumamosi Agosti 13 na litafikia tamati siku ya tarehe 20 Agosti 2016 na mnenaji mkuu katika kambi ni mwenyekiti wa Konferensi ya nyanda za juu kuasini Mchungaji Kenani Mwasomola na wengine katika kambi hili ni Mchungaji Sadock Butoke na Mchungaji Busee.
Kwaya rasmi katika kambi hili ni Rwamgasa toka Geita, pamoja nao kutakuwa na kwaya takribani 12 kutoka makanisa yanayounda mtaa zikiwemo kwaya za kanisa pamoja na za vijana na watoto.

Mchungaji Busee alipokuwa akifungua kambi siku ya jumamosi.
Mchungaji wa Mtaa Mchungaji Mayalu





Na Sixbert

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA