Showing posts with label MAHUBIRI. Show all posts

Sunday, March 05, 2017
Saturday, March 04, 2017
Na JAMES NGAI, DOHA
Watu 4 walipata kumpokea Bwana kwa njia ya ubatizo baada ya mahubiri ya kawaida ya kila ibada ya jumamosi na ubatizo huu ulifanywa na Mchungaji Israel Muyiwa toka Nigeria mapema leo
Historia ya kanisa hili kwa ufupi
Ghuba ya Fildi ya kanisa la waadventista wa Sabato ilianzishwa (mahali kanisa lilipo) Mei 20, 2011 kama matokeo ya kuunganisha Ghuba Sehemu ya Afrika (inahusu sehemu za nchi mbili, ambazo ni;-(Falme za Kiarabu na Usultani wa Oman) pamoja na Ghuba Sehemu ya Kaskazini (inayojumuisha Kuwait, Bahrain na Qatar). Eneo hilo lina makanisa 14, na wengi wao wako katika Falme za Kiarabu.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

Friday, March 03, 2017
Friday, March 03, 2017
1 comments
Kwenye kila mafanikio changamoto hazikosi, waimbaji wa Sonda ya Dihlu wakati wa kutengeneza album yao ya pili walipata changamoto ya kifedha ambayo iliwapelekea kukosa fursa ya kwenda studio na kuifanya kazi hiyo.
Ilionekana changamoto lakini kwa upande mwingine ilikuwa ni fulsa.
------------------------------------
Bwana ni mwema kwani mmoja wa waimbaji wao ambaye ndiye anasolo nyimbo karibia zote, Mr Isaya alikuwa na studio ndogo ya nyumbani na wala haikuwa na vifaa vya kisasa lakini maajabu ni kwamba kazi ilitoka vizuri nakala nyingi sana zilinunuliwa na Bwana akainuliwa.
ISIKILIZE AUDIO YA HALELUYA HAPA CHINI
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Ilionekana changamoto lakini kwa upande mwingine ilikuwa ni fulsa.
------------------------------------
Bwana ni mwema kwani mmoja wa waimbaji wao ambaye ndiye anasolo nyimbo karibia zote, Mr Isaya alikuwa na studio ndogo ya nyumbani na wala haikuwa na vifaa vya kisasa lakini maajabu ni kwamba kazi ilitoka vizuri nakala nyingi sana zilinunuliwa na Bwana akainuliwa.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Mchungaji David Mmbaga ni mmoja ya watoto waliozaliwa katika Hospitali
ya Bugando ambayo ni moja ya Hospitali kubwa hapa Nchini Tanzania,
Iliyojengwa mnamo Mwaka 1972.
February 28, 2017. Kanisa la Mabatini kwa kushirikiana na mchungaji Mbaga walipeleka vitu mbali mbali ikiwemo vifaa tiba katika Wodi ya Watoto na chumba cha Upasuaji katika Hospitali hiyo.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
February 28, 2017. Kanisa la Mabatini kwa kushirikiana na mchungaji Mbaga walipeleka vitu mbali mbali ikiwemo vifaa tiba katika Wodi ya Watoto na chumba cha Upasuaji katika Hospitali hiyo.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Wednesday, March 01, 2017
Monday, February 27, 2017
HABARI NJEMA: PAMOJA NA MAFANIKIO MENGINE, WAIMBAJI WA SONDA YA DIHLU WANAMILIKI KIWANJA CHA HEKALI3
Kundi limeimarika kiroho
Pia kupitia kundi tumetoa mstoleo matatu ya santuri za kusikia (Audi cd
)
Pia tumeewe kumiliki Kiwanja chenye heka 3
Na pia katika kundi tumeweza kusafiri na kufanya matamasha mawili makubwa nje ya nchi Kenya na Uganda
Pia Kenya tumeshiriki mikutano mikubwa ya wiki moja Kenyatta university 
Na kwasasa tunatoleo la kwanza la video
DVD 
Liitwalo PIGA MAGOTI baada ya kutimiza miaka kumi
Tumeshiriki tamasha la kwanza la ACAPELA KWANZA wakati wa kuanzisha Acapela kwanza Kama tukio la kwanza kubwa
Na pia tukio kubwa lililofanyika uwanja wa Taifa la FOLLOW THE BIBLE Kama kundi pekee la akapela lililochaguliwa
Yakiwa Ni matukio makubwa hapa Tanzania
Na mengine madogo madogo na ya Kati ya uzinduzi wa sherehe na harusi na mikutano mingi ya effort.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Akizungumza na injilileo katika kuelezea nini watu wafahamu juu ya kitabu, Mchungaji Mmbaga amesema amepitia uzoefu katika kuvisoma vitabu mbalimbali na biblia, kupata uzoefu kwa watu mbalimbali na kujiuliza maswali mengi hasa juu ya kwanini maombi ya watu hayajibiwi au hata kwanini maombi mengine yanachelewa kujibiwa? Ndipo fursa ya kuandika kitabu hiki ikaja.
--------------------------------------------------------------------------
"Baada ya kugundua mambo mbalimbali juu ya maombi hata mfumo wangu wa kuomba ukabadilika ndani ya maisha yangu, kwakuwa nimeona ni hitaji kubwa la watu wengi na siwezi kuwafikia wote na kuwafundisha, ndipo nikapata ushauri kwa watu kwamba niandike watu wakasome nao watabarikiwa kwakujua namna ya kuomba" alisema Mchungaji Mmba alipoongea na injilileo hapo jana
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
--------------------------------------------------------------------------
"Baada ya kugundua mambo mbalimbali juu ya maombi hata mfumo wangu wa kuomba ukabadilika ndani ya maisha yangu, kwakuwa nimeona ni hitaji kubwa la watu wengi na siwezi kuwafikia wote na kuwafundisha, ndipo nikapata ushauri kwa watu kwamba niandike watu wakasome nao watabarikiwa kwakujua namna ya kuomba" alisema Mchungaji Mmba alipoongea na injilileo hapo jana
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Sunday, February 26, 2017
Ilikuwa jioni ya saa mbili usiku Muhimbili Hospitali 26/02/2012 ambapo alifariki baba yangu mzazi.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Kifo kitu cha ajabu sana.Kimsingi hakizoeleki hata kidogo.Mara nyingi
huwa nimekuwa nikisikia habari za kifo hata kushuhudia mtu akifariki
lakini hili la mtu wa karibu kiasi hichi wa familia tena Mzazi
lilinifanya niingie katika fadhaa ya ajabu sana.Maisha hayana maana,ipo
siku kila mmoja aliyehai leo atalala (kufa ) siku moja.Wakristo wapo na
tumaini ng'ambo na kaburi kwa kuwa Yesu aliyeshinda kifo na kupaa
atarudi tena kuja kuchukua waliowake.Wapendwa wetu waliolala katika
tumaini tutawaona tena.
Hii ni audio yangu ya kwanza na huenda nikafanya zaidi hata kufanya album kabisa.
Kazi ilifanywa Dodoma-Ararat Studio with Producer Baraka
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Maana ya jina SONDA YA DIHLU
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Ni Nyota ya asubuhi kiswahili kiingereza Ni morning star
Na
jina hili lilikuja baada ya njozi ya Vijana wawili Elisha Barnabas na
mwenzake Samweli Kiraryo kuwa na njozi yakutaka kuimba nyimbo za kilugha tu.
Ndipo walipo liita kundi jina Hilo. Ni lugha ya kisukuma, hatukupendelea kuwa na majina yakizungu Ili kuenzi nyumbani.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Subscribe to:
Posts (Atom)