Monday, February 27, 2017

 Akizungumza na injilileo katika kuelezea nini watu wafahamu juu ya kitabu, Mchungaji Mmbaga amesema amepitia uzoefu katika kuvisoma vitabu mbalimbali na biblia, kupata uzoefu kwa watu mbalimbali na kujiuliza maswali mengi hasa juu ya kwanini maombi ya watu hayajibiwi au hata kwanini maombi mengine yanachelewa kujibiwa? Ndipo fursa ya kuandika kitabu hiki ikaja.
                               --------------------------------------------------------------------------
"Baada ya kugundua mambo mbalimbali juu ya maombi hata mfumo wangu wa kuomba ukabadilika ndani ya maisha yangu, kwakuwa nimeona ni hitaji kubwa la watu wengi na siwezi kuwafikia wote na kuwafundisha, ndipo nikapata ushauri kwa watu kwamba niandike watu wakasome nao watabarikiwa kwakujua namna ya kuomba" alisema Mchungaji Mmba alipoongea na injilileo hapo jana



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA