Sunday, February 26, 2017

  Ilikuwa jioni ya saa mbili usiku Muhimbili Hospitali 26/02/2012 ambapo alifariki baba yangu mzazi.
 Kifo kitu cha ajabu sana.Kimsingi hakizoeleki hata kidogo.Mara nyingi huwa nimekuwa nikisikia habari za kifo hata kushuhudia mtu akifariki lakini hili la mtu wa karibu kiasi hichi wa familia tena Mzazi lilinifanya niingie katika fadhaa ya ajabu sana.Maisha hayana maana,ipo siku kila mmoja aliyehai leo atalala (kufa ) siku moja.Wakristo wapo na tumaini ng'ambo na kaburi kwa kuwa Yesu aliyeshinda kifo na kupaa atarudi tena kuja kuchukua waliowake.Wapendwa wetu waliolala katika tumaini tutawaona tena.
Hii ni audio yangu ya kwanza na huenda nikafanya zaidi hata kufanya album kabisa.
 Kazi ilifanywa Dodoma-Ararat Studio with Producer Baraka

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA