Na JAMES NGAI, DOHA
Watu 4 walipata kumpokea Bwana kwa njia ya ubatizo baada ya mahubiri ya kawaida ya kila ibada ya jumamosi na ubatizo huu ulifanywa na Mchungaji Israel Muyiwa toka Nigeria mapema leo
Historia ya kanisa hili kwa ufupi
Ghuba ya Fildi ya kanisa la waadventista wa Sabato ilianzishwa (mahali kanisa lilipo) Mei 20, 2011 kama matokeo ya kuunganisha Ghuba Sehemu ya Afrika (inahusu sehemu za nchi mbili, ambazo ni;-(Falme za Kiarabu na Usultani wa Oman) pamoja na Ghuba Sehemu ya Kaskazini (inayojumuisha Kuwait, Bahrain na Qatar). Eneo hilo lina makanisa 14, na wengi wao wako katika Falme za Kiarabu.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment