Monday, February 27, 2017



Kundi limeimarika kiroho
Pia kupitia kundi tumetoa mstoleo matatu ya santuri za kusikia (Audi cd 💿)
Pia tumeewe kumiliki Kiwanja chenye heka 3

Na pia katika kundi tumeweza kusafiri na kufanya matamasha mawili makubwa nje ya nchi Kenya  na Uganda
Pia Kenya tumeshiriki mikutano mikubwa ya wiki moja Kenyatta university 🎓
Na ndani ya nchi tumezunguka mikoa zaidi ya 8 mikubwa pamoja na Zanzibar kwaajili ya uimbaji.

Na kwasasa tunatoleo la kwanza la video 📼 DVD 📀
Liitwalo PIGA MAGOTI baada ya kutimiza miaka kumi

Tumeshiriki tamasha la kwanza la ACAPELA KWANZA wakati wa kuanzisha Acapela kwanza Kama tukio la kwanza kubwa
Na pia tukio kubwa lililofanyika uwanja wa Taifa la FOLLOW THE BIBLE Kama kundi pekee la akapela lililochaguliwa

Yakiwa Ni matukio makubwa hapa Tanzania
Na mengine madogo madogo na ya Kati ya uzinduzi wa sherehe na harusi na mikutano mingi ya effort.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA