Tuesday, February 28, 2017

 Bwana ni mwema wakati wote, 
Leo tunajikumbusha hili kwenye uimbaji na matokeo yake, injilileo tulibahatika kufanya mahojiano na mmoja wa waimbaji wa kundi la Sonda ya Dihlu nae akawa na haya;
"Tunamshukuru Mungu tuliweza kupata tuzo ya kundi bora la Acapela kwenye tukio la HOME COMING lililohusisha nchi saba zikiwemo Kenya, Malawi, Rwanda, Rwanda, Congo, Tanzania na Uganda na pia kwa hapa nyumbani Tanzania tulishinda tuzo za Glorious Music Awards" alisema mmoja wa waimbaji wa Kundi hili Mr Tunzo
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA