[NA ZAKY MADUHU]
KAMA
WEWE NI MKAZI WA MWANZA THE ROCK CITY BASI HII INAKUHUSU SANA. USIPANGE
KUIKOSA HII SIKU NI TAREHE 24/05/2014 NJOO UONE NA USIKIE MUZIKI KUTOKA
KWA KUNDI LA THE LIGHT BEARERS SINGERS KATIKA TAMASHA LA IMBA KWA
UPENDO SEASON II. WAIMBAJI KIBAO WATAKUWEPO KAMA NILIVYOORODHESHA HAPO
BILA KUSAHAU DIDIER KARASIRA KUTOKA KIGALI RWANDA NA WENGINE
TUTAWAJULISHA KADRI SIKU ZINAVYO SONGA. HAKUTAKUWA NA KIINGILIO NJOO
WEWE YULE NA ALIKA RAFIKI ZAKO SHARE KADRI UWEZAVYO POST HII
***ASANTE MDAU NAOMBA UTUME PICHA ZAKO WATSUP NO 0717-367693***
0 comments:
Post a Comment