Monday, January 04, 2016

Ikiwa ni mara yao ya pili kuandaa siku maalum ya uimbaji ukiacha ile ya tarehe 1/1/2016 siku ya kuupokea mwaka mpya 2016 ndani ya kanisa la Magomeni SDA ambapo waimbaji hawa waliweza kumtukuza Mungu kwa nyimbo na uimbaji huo ulipambwa na waimbaji wengine kama;-The harmony,Barret,Lightbearers,The Twins,Oola na kikundi chake,Vocapella na wengine wengi.
Mara hii tena kikundi hiki kinakuja kwa huduma ya uimbaji, tunategemea ubunifu zaidi na wenye mibaraka kama ule wa pale Magomeni.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA