Thursday, January 26, 2017

 Katika semina hii ya siku moja ya ujasiliamali itawezeshwa na Daud Massambu, Happy Huka, Nyamagesa Labani, Mugisha Nkoronko, Daniel Chimagu, George Matto na Benson Ndiege na hakuna kiingilio katika semina hii.
Usikose fursa ya kujua mengi na namna ya kuanzisha biashara, kupata uzoefu wa kuongeza faida katika biashara yako na mzunguko wake, kumbuka ni Jumapili hii Januari 29, 2017 ndai ya viwanja vya Kanisa la Kariwa SDA- Moshi.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA