Haya ni baadhi ya matukio katika picha ya sherehe kubwa ya ufunguzi na uzinduzi wa kampeni ya afya kwa wakazi wa jiji la Mwanza na hata mikoa jirani hasa kanda ya ziwa. Huduma hii ni ya siku mbili na kufuatiwa na mahubiri yatakayoanza Jumapili ya tarehe 31 mwezi huu wa 8.
|
Kikosi cha vijana cha watafuta njia wakipita kwa mwendo wa haraka huku wakitoa hesima mbele ya mgeni rasmi |
|
Kikosi cha vijana cha watafuta njia wakipita kwa mwendo wa haraka huku wakitoa hesima mbele ya mgeni rasmi |
|
Eneo la shughuli katika uwanja wa michezo wa CCM Kirumba jijini Mwanza |
|
Sehemu ya wahudhuriaji wa tukio hilo |
|
Dkt. Bhangi, mganga mkuu wa mkoa wa Mwanza akiongea na mkutano kwa niaba ya mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza |
|
Sehemu za huduma za Afya zikiendelea |
|
Mtaalamu wa afya Dkt. Obeid Kabinza akiendelea na huduma ya afya |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment