Monday, August 25, 2014

Habari njema ni hii,Hospitali ya Waadventista Wasabato Pasiansi wakishirikiana na Chama Cha Wanataaluma na Wajasiriamali mkoa wa Mwanza(ATAPE) wanakuletea huduma ya uchunguzi na ushauri wa magonjwa kama;-meno,macho,kisukari,presha  na afya ya mama na uzazi salama..
Huduma hii inafanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba tarehe24/8/2014 Jumapili na 25/8/2014Jumatatu kuanzia saa3 Asubuhi hadi saa10Jioni na ni BUREE KABISA...
Mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist W.Ndikilo na hii huduma ikiwa na maandalizi ya efoti itayofanyika September katika jiji la Mwanza..
KIJANA WA AY AKIFANYA USAFI
VIJANA WATAFUTA NJIA WALISHIRIKI KUTOA HUDUMA HII YA USAFI SIKU YA JUMAPILI 24/8/2014
VIJANA WATAFUTA NJIA WALISHIRIKI KUTOA HUDUMA HII YA USAFI SIKU YA JUMAPILI 24/8/2014
VIJANA WATAFUTA NJIA WALISHIRIKI KUTOA HUDUMA HII YA USAFI SIKU YA JUMAPILI 24/8/2014
VIONGOZI WA VIJANA WATAFUTA NJIA WALISHIRIKI KUTOA HUDUMA HII YA USAFI SIKU YA JUMAPILI 24/8/2014
VIONGOZI WA VIJANA WATAFUTA NJIA WALISHIRIKI KUTOA HUDUMA HII YA USAFI SIKU YA JUMAPILI 24/8/2014
UCHUNGUZI WA MACHO UKAFUATA HAPA
UCHUNGUZI WA KINYWA NA MENO UKIENDELEA HAPA
UCHUNGUZI NA UPIMAJI WA PRESHA UKIENDELEA SIKU HII YA JUMAPILI 24/8/2014

UCHUNGUZI NA UPIMAJI WA PRESHA UKIENDELEA SIKU HII YA JUMAPILI 24/8/2014
HAPA NI BANDA LA HUDUMA YA UCHUNGUZI NA USHAURI WA AFYA YA UZAZI SALAMA NA MTOTO UKIFANYIKA NA AKINAMAMA WAKIFUATA MSTARI KUHUDUMIWA KWA ZAMU..
HATUA YA KUPIMA UZITO NAYO MUHIMU PIA
UCHUNGUZI NA UPIMAJI WA PRESHA UKIENDELEA SIKU HII YA JUMAPILI 24/8/2014
UCHUNGUZI WA MACHO UKIENDELEA MAHALI HAPA

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA