Sunday, May 19, 2013

Kanisa la WASABATO Kunduchi mjini DAR ES SALAAM
TAARIFA>>Makambi ya mtaa wa KUNDUCHI yatafanyika hapa kuanzia tarehe 4-10AGOSTI,2013 goli la sadaka ya matumizi ni TSH3.0M,WATU wazima kiwango cha chini 25000 na watoto ni 5000

wageni waliolikwa wakiwa wamesimama kwa ajili ya utambulisho  na kupewa zawadi

Mnenaji wa siku hii alikuwa ni MZEE G.KITUA ambae katika mahubiri yake siku hii alisisitiza kupenda rehema na kutenda haki
washiriki wa kanisa wakifatilia kinachojili
wanakwaya wa kanisa
mwimbaji toka kanisa la MBEZI JUU EDNA KINANDA,mmoja kati ya walioalikwa nae  akimwimbia MUNGU wake
mtoto akikariri fungu,moja kati ya huduma iliyofanyika siku hii
mtoto akikariri fungu



Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA