Friday, May 31, 2013

KWAYA YA IFM


VEGA-CAPELLA


Katika kuufanya kazi ya BWANA kawa wakati uliobaki,wanafunzi WAADVENTISTA WASABATO TOKA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA(IFM)..Wanakualika siku ya IJUMAA YA LEO TAREHE 31MAY,2013 katika ukumbi wa  KANISA LA ANGLIKANI POSTA karibu na kituo cha mabasi,mkabala na 'HOLYDAY OUT' kuanzia saa 11 jioni hadi 3 usiku..
Ni siku ya kuhitimisha juma la uinjilisti na kugawa vijizuu pia na vitabu kwa wanafunzi walio hapa chuoni hata walimu na wafanaya kazi pia
Kwaya ya IFM itahudumu,HOLO na bila kusahau kikundi cha VEGA-CAPELLA nao watakuwepo na SUPRISE YA WAIMBAJI WENGINE WENGI.
                                                                "USIPANGE KUKOSA"

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA