Monday, June 17, 2013

Karibu sana kama wewe ni Daktari au mdau na unautalamu wa dawa hizi,kuna watu wengi wanateseka kwenda hosptaini na huko wanapewa madawa mbalimbali ambayo mwisho wa siku ni sumu ndani ya miili yao..
Tangu uumbaji MUNGU alikusudia mwanadamu apate chakula toka kwenye matunda,mimea na mizizi ya kondeni,lakini sasa tunakutana na changamoto za kutumia vyakula ambavyo huongeza sumu na huleta magonjwa mbalimbali kama kansa na mengine mengi na sababu ya kutotii mpango wa MUNGU wa kula matunda na vyakula nya asili ya mimea......
Tuma kwa maandishi na picha kwenye mawasiliano hapa:injilileo@gmail.com au 0717 36 76 93
Categories:

1 comment:

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA