Leo ni ijumaa nyingine ambapo tuna kundi la VOCAPELLA wakiwa na nyimbo kama vile "SAVED" na "TUMWIMBIENI BWANA".Vipindi hivi huletwa na uongozi wa kanisa la waadventista wasabato MAGOMENI lililopo MWEMBE CHAI DAR ES SALAAM..
Waimbaji toka kila kona ya nchi na dunia kw ujumla wanaalikwa kuja mahali hapa kwa huduma ya uimbaji na programs mbalimbali......
VOCAPELLA wakiwa katika huduma ya uimbaji hapa MAGOMENI SDA CHURCH.... |
waimbaji toka kanisa la TEMEKE SDA CHURCH,VOCAPELLA wakiimba wakati wa huduma ya kufungua sabato hapa MAGOMENI SDA CHRCH |
WASHIRIKI wakifatilia kile kinachojili |
kumbuka ni washiriki wa aina zote wana karibishwa kujiunga na kundi hili kila ijumaa jioni |
washiriki wa kanisa na wageni toka kila kona ya nchi wakifatilia huduma zinzoletwa na wahusika |



0 comments:
Post a Comment