Leo ni siku ya ijumaa ambapo wana wa MUNGU toka mtaa wa MAGOMENI walishiriki kwa nyimbo mbalimbali na program tofautitofauti ikiwa ile ya ubatizo iliyofanywa na mchungaji wa mtaa huu MCHUNGAJI SINGO.Mbali na nyimbo za vitabuni,vijana toka kanisa la WAADVENTISTA WASABATO-TEMEKE ambao si wengine ni VOCAPELLA,walihudumu kwa njia ya nyimbo katika siku hii....
VOCAPELLA WAKIIMBA |
LEO WAKIIMBA WIMBO WA "SIKIA EE BWANA" |
PICHANI:KULIA MKALMANI/MTAFSIRI KATIKA MAKAMBI HAYA AMBAYE NI MCH.MPOKI NA KUSHOTO NI MNENAJI WA MAKAMBI HAYA AMBAYE NI CLIFF |



0 comments:
Post a Comment