Thursday, November 14, 2013



VIJANA KUTOKA TABATA KIMANGA PAMOJA NAWATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KWENYE PICHA YA PAMOJA





VIJANA WAKIFUA NGUO ZA WATOTO WASHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

KIjana alie tambulika kwa jina la Bhoke Robby akipika wali mweupe kwenye kituo cha watoto waishio katika Mazingira magumu

Vijana Wakisabato  Tabata Kimanga wakipika katika kituo cha watoto waishio katika mazingira magumu "NEW HOPE FAMILY"



Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA