Tuesday, December 03, 2013
Mkutano
Mkuu wa uchaguzi wa viongozi watakaoiongoza Unioni Konferensi ya
Kaskazini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato umeanza jana
hapa jijini Arusha, Mchungaji Blasius Ruguri ambaye ni Kiongozi wa
kanisa hilo Afrika Mashariki na Kati asubuhi hii ametoa hotuba akisema
ugawaji wa Unioni sio tamko la kisiasa bali ni la utume na
utendaji.Mkutano huo unawakutanisha wajumbe wapatao 200 toka taasisi na
makanisa mahalia ya mikoa 11 ya Kagera, Mara, Mwanza, Arusha, Mwanza,
Shinyanga, Tabora, Kigoma, Singida, Manyara na Tanga..
0 comments:
Post a Comment