Wednesday, April 16, 2014

MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI KATIKA SABATO YA WAGENI ILIYOFANYIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO SEGEREA TAREHE 12/04/2014

 ILIKUWA NI SIKU YA FURAHA KWANI WANA NA BINTI ZA MUNGU WALIJUMUIKA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA KUMWABUDU MUNGU NA PROGRAMU ZIKIWA ZIMEPANGILIWA VYEMA CHINI YA MKURUGENZI WA SHULE YA SABATO

Dada Beatrice Chumah ambaye ni karani wa shule ya sabato akiongoza kipindi cha shule ya sabato









       

    Mkazo mkuu katika siku hii ya wageni ni katika kujenga mahusiano mema na majirani zetu, wakiwemo  ndugu na jamaa na mhubiri wa siku hiyo alikuwa ni Pr  Singo wa mtaa wa Magomeni

waimbaji wa kwaya ya kijichi wakimsifu Mungu katika siku hiyo




Waimbaji wa kwaya ya mbezi luis wakiimba katika siku ya wageni kanisani segerea

waimbaji wa kundi la The Pearl Gate Singers kutoka kanisa la waadventista wa sabato segerea walikuwa ni miongoni mwa waimbaji katika siku hiyo.

 

Baadhi ya washiriki wa kanisa la waadventista wa sabato wakisikiliza mahubiri

 




0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA