(PICHA NA STEPHEN LETTA)
BAADA YA HUDUMA YA UIMBAJI WALIWAACHIA RAFIKI ZAO HAO ZAWADI YA KITABU KUDHIHIRISHA UPENDO WALIO NAO KWAO. MFANO BORA WA KUIGWA......
![]() |
Kwaya ya Mbiu katika picha ya pamoja na wenzao wa KKKT |
![]() |
MBIU WAKIIMBA KWENYE KANISA LA KKKT |
![]() |
WENYEJI (KKKT) WAKIWA WAMESHIKILIA ZAWADI YA VITABU WALIVYOZAWADIWA NA MBIU KWAYA |
![]() |
Upendo katika vitendo. Rafiki zetu wakiwa wameinua zawadi waliyopewa na kwaya ya Mbiu - kutoka kanisa la Tandale |
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***







0 comments:
Post a Comment