Monday, June 09, 2014

Ni CD ya kwanza kabisa na hapa  jina la album  "TUTABADILISHWA"ikiwa na nyimbo 8 kama ifuatavyo....
  1. TWAKUSIFU
  2. TUJITOE
  3. TUTABADILISHWA
  4. SABATO
  5. INJILI
  6. DAIMA
  7. UPENDO WAKO
  8. NI SHANGWE KUU 
PATA NAKALA YAKO KWA;-+255 757 464 847

                                           +255 766 069 030



(PICHANI)KUSHOTO NDUGU SIFAEL M.HANGO MKAGUZI WA BENKI KUU YA TANZANIA IDARA YA RISK MANAGEMENT,AKIWA NDI MGENI RASMI NA HAPA AKIZINDUA RASMI CD HII AKIWA NA MWIMBAJI HOLLO MWIMBAJI WA FAMILY MUSIC AKISAIDIA ZOEZ HILI KUFANIKIWA..


MGENI RASMI AKIIFUNGUA TARATIBU TOKA KATIKA TAJI ZURI ILIYOFUNGWA NA MDA SI MREFU IKAWA TAYARI KWA KUUZWA KWA WATU NA INJILI YA BWANA KWENDA KWA NJIA YA NYIMBO



MGENI RASMI AKIIFUNGUA TARATIBU TOKA KATIKA TAJI ZURI ILIYOFUNGWA NA MDA SI MREFU IKAWA TAYARI KWA KUUZWA KWA WATU NA INJILI YA BWANA KWENDA KWA NJIA YA NYIMBO

*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA