"Ni nan huyu" utunzi wa wimbo ulio katika maudhui ya swali kuwa nani huyu ambaye ilikuwa ajabu akatoa uhai wake ili iwe fidia kwa wengi?
Tumaini tunalo kuwa huyu ni mmoja tu ambaye ni YESU KRISTO MWANA WA NAZARETI,yeye alishangaza watu hata leo hatuna majibu katika hili kuwa ni sayansi gani ya wokovu ilifanyika hapa
 |
MWIMBAJI NAMSIFU MAKACHA TOKA ARUSHA
|
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
0 comments:
Post a Comment