Sunday, June 22, 2014

Katika majuma matatu yaliyoanza JUNE 1,2014 NA hatimaye kuhitimishwa JUNE 21,2014 katika vituo mbalimbali hapa na kote duniani.Katika kanisa la waadventista wasabato Kimara mahubiri haya yameisha kwa watu 29 kubatizwa na kumpokea BWANA..
Katika huduma hii mwinjilisti Joshua Manyama alihubiri kama mnenaji mkuu katika mikutano hii na akiihitimisha mkutano huu kwa somo linaloitwa "WOKOVU YERIKO" somo hili likipatikana katika mafungu ya HESABU 13:27-31 "27 Wakamwambia wakasema, Tulifika nchi ile uliyotutuma, na hakika yake, ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali, na haya ndiyo matunda yake. 
28 Lakini watu wanaokaa katika nchi ile ni hodari, na miji yao ina maboma, nayo ni makubwa sana; na pamoja na hayo tuliwaona wana wa Anaki huko. 
29 Amaleki anakaa katika nchi ya Negebu; na Mhiti, na Myebusi, na Mwamori wanakaa katika milima, na Mkanaani anakaa karibu na bahari; na kando ya ukingo wa Yordani. 
30 Kalebu akawatuliza watu mbele ya Musa, akasema, Na tupande mara, tukaitamalaki; maana twaweza kushinda bila shaka. 
31 
Bali wale watu waliopanda pamoja naye wakasema, Hatuwezi kupanda tupigane na watu hawa; kwa maana wana nguvu kuliko sisi

."/..ikifafanua kuwa wale wapepelezi waliotumwa kupepeleza mji wa Yeriko walikuwa waoga sana kufedheheka baada ya kuona jinsi mji ulivypjengwa na wenyeji wa mji huo walikuwa ni watu wenye nguvu na hodari sana,lakini Klebu alisisitiza kuwa ushindi ni hakika../
Na mwinjilisti Nazery akitoa masomo ya mahusiano kati ya uislamu na ukristo


MCHUNGAJI WA MTAA WA KIMARA RAHISI MANDE ALIYEVAA JOHO JEUPE AKIFANYA HUDUMA YA UBATIZO SIKU HII NA PEMBENI AKIWA NA MASHEMASI WAKISAIDIANA..








IKAFIKIA ZAMU YA KUBATIZWA KWA MZEE MCHOME

IKAFIKIA ZAMU YA KUBATIZWA KWA MZEE MCHOME


HAPA AKIPATA USAIDIZI WA KUTOKA KISIMANI BAADA YA ZOEZI LA KUBATIZWA KWA MAJI MENGI..


BAADHI YA MASHUHUDA WAKIFATILIA KILE KINACHOJILI HAPA NA WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI KWA NYIMBO ZA VITABUNI..


BAADHI YA MASHUHUDA WAKIFATILIA KILE KINACHOJILI HAPA NA WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI KWA NYIMBO ZA VITABUNI..


BAADHI YA MASHUHUDA WAKIFATILIA KILE KINACHOJILI HAPA NA WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI KWA NYIMBO ZA VITABUNI..


KIMARA SDA CHURCH

 NA BAADA YA UBATIZO KUKAWA NA HATUA NYINGINE YA KUWAPOKEA WABATIZWA NA WALE NA KUWAPATIA ZAWADI NA VYETI WALE WANAFUNZI WALIKUWA WAMEHITIMU MASOMO YA UNABII..MASOMO HAYA YA UNABII YALIKUWA YAKITOLEA YA TIMU YA WALIMU WALIOKUWA WAMEWEKA KAMBI KARIBU KA VIWANJA VYA MKUTANO MAENEO YA MAVURUNZA KIMARA DAR ES SALAAM..

WABATIZWA WAKIPOKELEWA HAPA NA JUKWAANI NI MZEE WA KANISA MZEE KILIMO AKITOA MANENO MACHACHE JUU YA HUDUMA HII..




KIMARA SDA CHOIR WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI



KUTOKA KULIA MCHUNGAJI RAHIS MANDE,MELABU,YUSUPH AZIZ(MZEE WA KANISA) NA MWINJILISTI MANYAMA WAKISHIRIKIANA KATIKA HUDUMA YA KUTOA VYETI KWA WAHITIMU WA SAUTI YA UNABII..










*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA