Monday, June 16, 2014

Ni mahojiano yalifanyika siku ya kumaliza juma la kwanza katika viwanja vya Mavurunza-Kimara DAR ES SALAAM ni  mahubiri ya MIKUTANO IITWAYO "TUMAINI KWA MIJI MIKUBWA"..Changamoto ikiwa ni mahudhurio kuwa hafifu kwa wenyeji wa kanisa la waadventista wasabato kimara,changamoto ikiwa ni usafiri na wageni wakiwa wengi hivyo kupwaya kwa hitaji la kuwahudumia watu hawa..
Wito ukiwa watu wahudhurie kwa wingi katika MIKUTANO hii kwani BWANA yu karibu sana kuja kuchukuwa wateule wake..







*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA