Makambi ya Mtaa wa Nyamanoro-Mwanza 2014
yanaendelea yanayojumuisha makanisa ya Nyamanoro, Lumara, NyasakaPPF, na
Kiseke. Wote walio karibu mnakaribishwa.
picha na MUSA NZUMBIJr
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
picha na MUSA NZUMBIJr
![]() |
Pr Ntabindi akiwa na Wagane na Wajane wakati wa mgawanyiko |
![]() |
KIBAO ELEKEZI KUKAA KWA KWAYA YA LUMALA |
![]() |
Wahudumu wa makambi wakiwa na kwaya ya Lumara |
![]() |
KIBAO ELEKEZI KUKAA KWA KWAYA YA NYASAKA |
![]() |
sehemu ya waliokambika |
![]() |
wakati wa ibada kuu j4 |
![]() |
Pr Nzumbi akiwa na Vijana wakubwa wakati wa mgawanyiko |
![]() |
Hii ni kwaya ya Lumara SDA |
![]() |
hii ni kwaya ya Nyamanoro SDA |
![]() |
Pr Elias Shija akiendesha kipindi cha mafundisho makuu |
![]() |
sehemu ya wanakambi |
![]() |
mahema ya wanakambi |
Huduma ya makambi kwa watoto. ndani ya kanisa la Nyamanoro |
![]() |
HII NI KWAYA YA KISEKE SDA |
![]() |
Pr Shija akiwa na wana ndoa changa wakati wa mgawanyiko |
![]() |
sehemu ya vijana wakisikiliza semina wakati wa mgawanyiko |
![]() |
KIBAO ELEKEZI KUKAA KWA KWAYA YA NYAMANORO |
Pr Ayubu Ndulu akiwa na wanandoa Kongwe wakati wa mgawanyiko |
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***





















0 comments:
Post a Comment