Picha toka Singida kwa Mkutano wa Wachungaji na wake wa wachungaji unaohitimishwa leo,Mkutano huo ambao umefanyika katika kanisa la Waadventista Wa Sabato la Singida Kibaoni na kuhudhuriwa na Mamia ya wachungaji na wake zao toka Unioni Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania ukiendeshwa na Katibu Mkuu Mtendaji katika kanisa hilo Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati Dr Nathaniel Waremba utafungwa leo na Dr Godwin Lekundayo-Hitimisho la mkutano huo lilirushwa live hii leo na#MorningStarRadio...
 |
Kutoka kushoto-Mama Mch Mitekaro Mkurugenzi wa Idara ya wana wa kike Unioni Konferensi ya Kaskazini,Mariam Samo Mkurugenzi wa Idara ya wana wa kike NETC,Mama Malyeta Mkurugeni wa Wana wa Kike South Nyanza hapa wakijiandaa kwa Ibada ya Shule Sabato.....
|
 |
Gideon Msambwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Unioni Konferensi ya Kaskazini Mwa Tanzania akiweka mambo sawa mkutanoni Singida hii leo...
|
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
0 comments:
Post a Comment