Thursday, June 19, 2014




Taarifa kutoka kanisa la Kivule
Aawamu ya kwanza walibatizwa watu 14, awamu ya pili watu 13, jumla watu 27 (namba hii yaweza kuongezeka). Kulikuwa na mkutano wa maombi uliokuwa unafanyika kila siku kuanzia saa 11 alfajiri na kuhudhuriwa na wastani wa washiriki 255. Maombi hayo yalianza juma moja kabla ya kuanza effort na yameendelea kipindi chote cha effort. Mahudhurio katika mikutano ya effort iliyofanyika kwa majuma matatu kuanzia tarehe 1 June 2014 ni wastani wa wageni 20. Masomo ya Afya yalikuwa yakitolewa na Dkt. Matata wakati yale ya Familia yalikuwa yakitolewa na Mwinjilisti Kimboya. Mahubiri ya kituo cha Kivule yalisimamiwa na Mchungaji Bunga E. Dettu wa Zanzibar.













*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA