Thursday, August 21, 2014

Kwaya hii ikiwa na jumla ya wana kwaya 37 wakitokea katika Mji wa Moshi,wanapatika katika Kanisa la Waadventista Wasabato Kariwa mjini hapo..

Kwaya hii ina walimu 3 yaani Ezra Wango,Daniel Chimagu na Nashon Chacha na Mwenyekiti wa kwaya ni Dr.Mugisha Nkoronko,Mwenyekiti msaidizi ni Mr.Eliud Mwailafu,Katibu ni Scholastica Ruyembe,Matron ni Miriam Washingston na Patron ni Benard Bogonko...






****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA