Friday, August 22, 2014

 Mji wa Yerika inasemekana ni mji pekee uliokuwa na strarehe na Casino kwa wakati huo kabla ya kuvamiwa
Yeriko mji ambao Joshua alituma wapelelezi wakaopewa na Ahabu akawaficha kisha wakauteka kwa tarumbeta
Inasadikiwa ni katika kilima hicho baada ya YESU kufunga kwa siku 40 alijaribiwa na shetani
YERIKO mji huu unamilrikiwa na wapalestina kama ilivyo Bethrehemu
PICHA KWA HISANI YA ABNERY MAGAFU MGANGA



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA