Hivi ni baadhi ya vifaa alivyotumia mama Ellen G. White, mwanamke anayeaminiwa na kanisa la waadventista wasabato kama nabii wa Mungu...vifaa vilivyobaki kama makumbusho katika nyumba aliyopata kuishi huko nchini Marekani.
Endelea kufuatana nasi ili ujifunze kitu.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Endelea kufuatana nasi ili ujifunze kitu.
Kibao kinachoonesha nyumba aliyoishi mama Ellen na mume wake James White mwaka 1856-1863 |
Nyumba waliyoishi wawili hao |
Kitanda alichokuwa akilalia enzi za uhai wake |
Meza na kiti alichokuwa akitumia kuandikia njozi alizokuwa akipokea |
Kalamu na taa aliyokuwa akitumia katika kuandika |
Meza na taa yake |
Baadhi ya maandishi yake kabla hayajachapishwa kuwekwa katika vitabu. picha zote na Amusir Solutions Media. |
0 comments:
Post a Comment