Friday, August 08, 2014

DR.BLASIUS RUGURI MWENYEKITI WA ECD(EASTERN AND CENTRAL DIVISION)
 Ziara hizi za kikazi za Mchungaji DR.BLASIUS RUGURI zimeenda sambamba na kukagua miradi mbambali ikiwa ni pamoja na kufungua Zahanati katika visiwa vya Unguja na Pemba kuweka jiwe la msingi katika shule ya Mbeya Adventist Secondary School iliyopo Forest-Mbeya.Akiwa Mbeya Kati ametoa semina mbalimbali juu ya uongozi na namna ya kutumia rasilimali watu katika kazi ya injili..
Ziara hizi zimehitimishwa kwa ukanda huu wa Unioni ya Kusini mwa Tanzania na kuelekea Mwanza katika Union ya Kaskazini ambayo ni Unioni Konferensi...
Sikiliza mahojiano ya mtangazaji Maduhu toka Morning Star Redio akiwa katika viwanja vya kanisa la Waadventista Wasabato Mwenge 


****TUMA PICHA NA VIDEO WASAP 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

1 comment:

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA