Ni mkutano wa pekee kwani huleta mafundisho ya kipekee sana na ambayo kwa hakika watu mbalimbali hasa wa sehemu hizi za jirani na mji wa Moshi wamekuwa wakibarikiwa na program hizi..
Leo ikiwa ni Sabato ya pili tangu kuanza makambi haya,kumekuwa na ibada ya pamoja katika viwanja vya mashujaa haya Moshi na kukiwa na ubatizo mkubwa sana kwa watu 150 kubatizwa na ubatizo huu kupewa jina"UBATIZO WA AMANI SEHEMU YA KWANZA"
|
MCHUNGAJI MIGOMBO AKIHUBIRI KATIKA IBADA KUU SIKU YA JUMAMOSI HII |
|
MCHUNGAJI MIGOMBO AKITOA WITO WAKATI WA IBADA KUU |
|
MCHUNGAJI MBWANA AKIPOKEA WALE WALIOKUWA WAKIJITOA PICHA NA ZAWADI-MOSHI |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment