Mungu atukuzwe kwa mambo makubwa ya ajabu aliyoyatenda katika Mkutano
mkubwa wa viongozi wa watoto wa kanda ya Afrika mashariki na kati( ECD)
Wa kanisa la Wa Adventista Wa sabato ulioanza August 13-16 2014 katika
chuo kikuu cha Arusha,Ukiongozwa na Idara ya Huduma za watoto
GC,Division,na Unioni mbalimbali za Division zikiwa zimewakilishwa na
wajumbe zaidi ya 22 kwa kila unioni.KATIKATI YA PICHA HII NI VIONGOZI WA
IDARA HIYO WA GC,DIVISION NA UNION CONFERENCE YA KASKAZINI MWA TANZANIA..
Baadhi ya wajumbe katika picha ya pamoja
Watoto toka Chuo Kikuu cha Arusha,Usa River,Kijenge na Njiro walifanya program maalum
Wajumbe toka Rwanda
Waimbaji toka Rwanda
Mkurugenzi
wa Idara ya Huduma za Watoto Duniani katika kanisa la Waadventista Wa
Sabato Duniani Dr Linda Lim Koh akihutubu katika ibada ya kufunga
mkutano
Njiro SDA Choir
Wajumbe toka DRC PICHA NA MTANGAZAJI MADUHU NA MAELEZO ABEL KINYONGO
Wajumbe toka Rwanda
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment