BAADHI YA WANACHUO WA CHA USIMAMIZI WA FEDHA(IFM) WAKISIKILIZA MANENO YA FARAJA TOKA KWA MCHUNGAJI YOYO KATIKA MOJA YA SIKU ZA KUFUNGA NA KUOMBA... |

Leo ni miongoni wa maombi ya mfungo ambayo pia yameenda sambamba na neno la faraja toka kwa Mchungaji Yoyo ambaye ni Mchungaji mlezi wetu wanafunzi wanachuo Waadventista Wasabato kwa kanda hii ya Dar Es Salaam..
Hili ni kundi dogo tu kati ya mengi Duniani,tukitokea Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),tulipangiwa mitihani siku ya Sabato na tukaandika barua,baadhi yetu hawakujibiwa na waliojibiwa bado wamepangiwa masaa ya Sabato..
Waijua imani yako lakini wito mkuu ni UFUNUO 14:12"12 Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu."zidi kuombea kundi hili na BWANA akubariki..
habari na http://ifmtucasa.blogspot.com
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment