Lengo la Rally hii ilikuwa ni kufanya changizo kwa ajili ya kununua vitabu vitakavyogawiwa magerezani na mahospitalini katika jiji la Dar Es Salaam pia ilikuwa siku ya kuonyesha matendo ya wainjilisti wa vitabu..
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
WAUMINI NA WASHIRIKI WA IBADA SIKU HIYO |
WAUMINI NA WASHIRIKI WA IBADA SIKU HIYO |
HAPA KIONGOZI WA WA WAINJILISTI KANDA YA ILALA AMINA MWIMO AKITOA HUBIRI LA WATOTO |
KWAYA YA WAINJILISTI WA VITABU KANDA YA ILALA WAKIMTUKUZA MUNGU KWA NJIA UIMBAJI.. |
KIONGOZI WA MUZIKI YARED OMOLO AKIONGOZA WAUMINI KUIMBA WIMBO SIKU HIYO |
HAPA KIONGOZI WA WAINJILISTI KANDA YA ILALA AMINA MWIMO AKITOA NENO LA UZIMA.. |
WAIMBAJI WA KWAYA YA ILALA WAKIMTUKUZA MUNGU KATIKA IBADA YA SIKU HIYO |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment