Tuesday, September 16, 2014

Watu wa MUNGU walilishwa kiroho,kiakili,na kimwili katika Makambi ya mtaa wa MBAUDA september 07 hadi 13, 2014 Katika viwanja vya kanisa la Wa Adventista Wa Sabato Mbauda,Uwaonao hapo ni wazee viongozi wa makanisa ya mtaa,Kwaya ya Njoro family,na za mtaa sambamba na Wachungaji waliotumika kuwalisha watu wa MUNGU kwa juma zima..
HABARI NA ABEL KINYONGO

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA