Hivi ndivyo katika siku ya jumapili, michezo mbalimbali huchezwa, standi za kazi pia huendelea, kwakwel hutajuta kumleta mwanao katika shule hii ya A.A.S, form za kujiunga kwa mwaka wa masomo 2015 zinapatikana..wahi nafasi kabla hujachelewa.
Ususi pia ni moja ya sana ambazo wanafunzi wa kike hujifunza katika siku hii ya michezoo |
Timu ya bethlemem ikiwa katika poz kabla ya mpira kuanza, kushoto ni M.Ojwang Akiwaelekeza jinsi ya kusakata samba safi |
Michezo hutufanya tuwe marafiki.. |
Timu ya sinai ikiwa katika picha ya pamoja na M.Ojwang kabla ya kuanza mechi |
Je nawe uliwahi cheza mchezo huu? Kama unaukumbuka utaje |
Hivi ndiyo wasichana huburudika, D Juma akionyesha uwezo wa hali ya juuu katika mchezoo huu.... coment na utaje mchezo huu kama unaukumbuka |
Beki asiye na masihara kwenye eneo lahatari |
Timu ya bethlehem wakimwaomba Mungu awasaidiee washinde mechi. |
kandanda safi likitandazwaa. |
Je watambua huu mchezo wanaocheza hawa wanafunzi wawili? |
Ususi pia ni sehemu ya maisha ya sanaa
|
0 comments:
Post a Comment