Friday, October 31, 2014






Hivyo ndivyo ilivyokuwa siku ya ufuguzi wa mkutano, maandamano yenye kauli mbiu ya kupinga maovu na magonjwa yatokanayo na mtindo wa maisha na kuombea AMANI tanzania. Mgeni rasmi kutoka ngazi ya Mkoa alipokea maandamano na kuufungua mkutano kwa hotuba ya pekee.
PICHA NA Mwinjilisti Eliezer Mwangosi




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA