Shangwe na nderemo, vifijo na vigeregere, vicheko na furaha zote leo tarehe 05 zimesikika katika kanisa la waadventista wasabato Magomeni mwembechai na baadae katika ukumbi wa kwalalumpa sinza kwa remmy baada ya mtumishi wa Mungu Japhet maarufu kama mwinjilisti magoti kujipatia jiko (mke) bi. Veronica.
Pata uhondo woteeeeeee
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Pata uhondo woteeeeeee
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment