Sunday, October 05, 2014

HUDUMA YA UPIMAJI IKIANZA HAPA
BAADHI YA WAHITAJI WA HUDUMA HII WAKIWA TAYARI WAKISUBIRI HATUA ZA UPIMAJI NA USHAURI TOKA KWA WATAALAMU WA AFYA
HUDUMA YA UPIMAJI IKIANZA HAPA
UANDIKIKAJI WA WALIOSHIRIKI ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU SALAMA LIKIFANYIKA  MAHALA HAPA NA HUDUMA HII ILIKUWA MAHSUSI KUPATA CHUPA LITA 300 ZA DAMU ,NA KATIKA ZOEZI WATU MBALIMBALI WALIJITOA KUCHANGIA DAMU.
DAKTARI TOKA SHIRIKA LA UCHANGIAJI WA DAMU SALAMA NA OKOA MAISHA AKIFANYA HUDUMA HII KWA KUANZA KUPIMA KWANZA DAMU YA MTOAJI DAMU KISHA KWENDA KWA HATUA YA MWISHO YA UTOAJI DAMU,HUDUMA HII PIA KIPINDI KILICHOPITA TUMESHUHUDIA IKIFANYIKA KATIKA MKUTANO WA INJILI KWA JIJI LA MWANZA NA WATU WALIBARIKIWA SANA NA KUTOA KWA UBATIZO

VIFAA VIKIWASILI KATIKA MAENEO MAALUM YA VIWANJA VYA KARIMJEE KWA AJILI YA HUDUMA YA UCHANGIAJI DAMU SALAMA.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA