Monday, October 20, 2014

Ni majengo ya shule yaliyojengwa kwa nguvu za waumini wa kanisa la Waadventista Wasabato Nyansincha wilayani Tarime katika Mkoa wa Mara.Ni majengo mawili yakiwa tayari yamefika kwenye hatua ya kuezekwa kwa bati na ibada ya Sabato iliyopita ilikuwa maalum kwa kuchangia majengo haya hata na hatua nyingine kufanikisha ujenzi wa shule ya chekecheai ya kanisa hili na kiasi cha laki 6 kupatikana katika changizo hilo.









****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA